Ni furaha kwangu kukukaribisha rasmi kwenye tovuti rasmi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua. Kusudi la tovuti hii ni kuwa kituo cha habari kwa wakazi wetu, washirika wa maendeleo, wawekezaji, watalii na wageni. Tovuti yetu ni ya kipekee na ya kusisimua na utapata habari nyingi za kujenga halmashauri yetu na maendeleo endelevu ambayo yanalenga juu ya kanuni ya utawala bora, Wakazi wengi wanaishi katika maisha ya wastani na Halmashauri yetu ina mazingira ya ushindani ambayo yanavutia wawekezaji
Tunajivunia halmashauri yetu na huduma tunayowapa wakazi wetu. Asante kwa kutembelea tovuti yetu kwa ajili ya habari za mara kwa mara. Tovuti hii boreshwa mara kwa mara ili kila mtu apate matukio muhimu. Fursa za kiuchumi, uwekezaji, utalii na fursa za kijamii ambazo zinapatikana kwa wote na kuifurahia kaliua
It is a pleasure for me to extend to you our cordial welcome to Kaliua district Council official website. The purpose of the website is to be an information centre for our residents, development partners, investors, tourists and visitors. You will find our website to be unique and exciting with much information towards our intention to build a Council with sustainable development which is managed on the principle of good governance, where residents do not live in poverty and have decent standards of living and a council with competitive environment which attracts investors.
We are proud of our council and services we offer to our residents. Thank you for visiting our website for periodic updates about current issues. This site is updated regularly to keep everyone informed of important events and many economic, investment, agriculture and social opportunities that are available for all to enjoy in the Kaliua,
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua