Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua anawatangazia Wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa, nafasi ya kazi ya Uendeshaji mtambo {Greda} daraja la II ya mkataba wa miezi mitatu {3} kwa wote wenye sifa kama ilivyo orodheshwa katika tangazo hili.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua