• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

Usafi wa Mazingira

IDARA YA MAZINGIRA

Idara ya Usafi na mazingira ni miongoni mwa Idara 13 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua. Majukumu ya Idara ni kusimamia utunzaji/uhifadhi wa mazingira na usimamizi wa sheria zilizopo na udhibiti wa uchafuzi wa azingira(Ardhi, maji,hewa na sauti, kusimamia ukusanyaji na usafirishaji wa taka ngumu.)

HIFADHI YA MAZINGIRA  

  • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua inamtabua kuwa jukumu la utunzaji wa mazingira ni wajibu wa kila mwananchi  kwani mazingira ni muhimu kwa maisha ya binadamu na viumbe vyote . Kwa kuona umuhimu wa hifadhi ya mazingira Idara  kwa kushirikiana na  idara  ya maliasili na kilimo imepanda miti  1,132,095 kwa kipindi cha 2016/2017. Zoezi hili kwa kuwa ni endelevu idara inaendelea na usimamizi wa bustani ya halmashuri na vikundi mbalimbali vinavyootesha miti kwa ajili ya hifadhi ya azingira.
  • Kuelimisha jamii juu ya upandaji wa miti na kuitunza.
  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na miongozo ya kulinda mazingira
  • Kuamdaa taarifa ya hali ya mazingira
  • Kudhibiti shughuli za binadamu  zinazoweza kuleta uharibifu katika mazingira ya vyanzo vya maji.
  • Kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala pamoja na majiko banifu. Kwa kaliua tayari kuna vijana wanaozalisha mkaa kwa kutumia maganda ya karanga, pumba za mpunga na takataka zingine. Mradi huu umelenga kupunguza suala la ukataji holela wa miti kwa ajili ya mkaa.
  • Kuandaa na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya Halmashauri ya usimamizi wa mazingira kwa kuzingatia mpango kazi wa Taifa wa Hifadhi na usimamizi wa mazingira.
  • Kuandaa na kutekeleza miradi mbalimbali kuhusu usimamizi wa mazingira

UDHIBITI WA UCHAFUZI WA MAZINGIRA (Ardhi, maji, hewa, na sauti)

  • Kuweka na kusimamia sheria za udhibiti wa uchafuzi wa mazingira
  • Kuelimisha jamii kuhusu njia bora za kuthibiti uchafuzi wa mazingira
  • Kufuatilia na kutathmini athari za uchafuzi wa mazingira katika viwanda, makazi, migodi, ujenzi, biashara, kilimo na ufugaji.
  • Kuweka miongozo ya kupunguza athari za uchafuzi wa hewa ya ndani ya makazi (in-door pollution) inayosababishwa na shughuli mbalimbali kama vile matumizi ya nishati ya kuni na uchomaji wa madini ya zebaki.
  • UDHIBITI TAKA NGUMU
  • Kusimamia ukusanyaji, uzoaji na usafirishaji wa taka ngumu
  • Kusimamia usafi katika mitaro na maeneo ya wazi
  • Kuweka vyombo vya kuhifadhia taka ngumu katika maeneo yote ya umma.
  • Kuainisha na kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa dampo za kisasa.
  • Kutoa amri za kuzuia utupaji ovyo wa taka wa aina zote katika fukwe, maeneo ya wazi, mito na mifereji ya maji ya mvua.
  • Kusimamia na kutekeleza maagizo ya viongozi kuhusu usafi wa mazingira.
  • TATHMINI YA ATHARI YA MAZINGIRA.
  • Kufuatilia utelezaji wa utaratibu wa tathmini ya ardhi kwa mazingira
  • Kufuatilia utekelezaji wa mpango na masharti ya tathmini ya athari kiwa mazingira kwa kila mradi uliofanyiwa tathmini hiyo.
  • Kusimamia uandaaji wa mapitio ya tathmini ya Athari kwa mazingira kwa miradi yote inayoanzishwa katika wilaya

MIONGOZO NA SERA MBALIMBALI INAYOTUMIWA NA IDARA

  • Sheria ya usimamizi wa mazingira NA.2O YA 2004
  • Sheria ya  Mazingira ya mwaka 1997
  • Sheria ya Afya ya jamii ya mwaka 2009
  • Sheria, sera na miongozo yote inayohusu utunzaji wa vyanzo vya maji, ardhi, misitu na maliasili.
  • Sheria ya madini ya mwaka 2010.
  • Sheria, sera na miongozo mbalimbali inayohusu serikali za mtaa.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA WA MTAMBO DARAJA LA II {GREDA} NAFASI 01

    May 04, 2025
  • MNADA WA KWANZA WA ZAO LA KARANGA WILAYA YA KALIUA

    March 24, 2025
  • MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    January 30, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUPITIA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII IMETOA HUNDI YA TSH. 302,000,000/=

    December 23, 2024
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua