Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua inawataarifu Wananchi na Wadau wote kushiriki Mnada wa kwanza wa zao la Karanga kupitia mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika Wilaya ya Kaliua
Mnada utafanyika Jumanne ya tarehe 25 Machi 2025 kuanzia saa 8 mchana katika Ghala kuu la chama cha Msingi Usindi lililopo kaliua Mjini.
Wananchi wanaalikwa kuendelea kuleta Karanga lakini pia kuja kuendelea kupata bei ya kimataifa ya ushindani.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua