Mkurugenzi Mtendaji (W) Ndg. Shaban Kabelwa aliyevaa miwani na Tshirt yenye mikono mirefu ya rangi ya kijani akiongoza kikundi cha hamasa na Burudani katika Shule ya Sekondari ya DR. Charles Msonde ambapo ujumbe wa mbio za mwenge 2025 ulitolewa sambamba na kuzindua nyumba ya walimu ya familia mbili na kitakasa mikono yenye jumla ya Tshs. 120,205,313.00
Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua imetembelea miradi ya Maendeleo katika Jimbo la Uchaguzi la Ulyankulu kuona namna utekelezaji wa miradi inavyoendelea ambapo Kaimu Mkurugenzi (W) ambaye pia ni Mkuu wa idara ya Utawala na Raslimali watu NDG. Wenselaus Lindi amewataka makandarasi kukamilisha kazi zao ndani ya siku 14 la sheria za manunuzi zitachukuliwa dhidi yao. Kwa ujumla miradi ni mizuri na imekidhi viwango.
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ndg. Shaban Kabelwa aliyevaa miwani na Tshirt yenye mikono mirefu ya rangi ya kijani akiongoza kikundi cha hamasa na Burudani katika Shule ya Sekondari ya DR. Charles Msonde ambapo ujumbe wa mbio za mwenge 2025 ulitolewa sambamba na kuzindua nyumba ya walimu ya familia mbili na kitakasa mikono yenye jumla ya Tshs. 120,205,313.00
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua