• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

MADIWANI KALIUA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA BAJETI YA BILION 50.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Posted on: January 30th, 2025

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limejadili na kupitisha rasimu ya bajeti ya bilioni 50.2 kwa  mwaka wa fedha 2025/2026

Awali akisoma mapendekezo ya rasimu hiyo kwenye  kikao cha baraza la Madiwani kwa niaba ya Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, Afisa Mipango Fransiska Mhagama amesema bilioni 7.6 ya bajeti hiyo ni fedha ya Mapato ya ndani ya Halmashauri.

Aidha akizungumza mara baada ya baraza la Madiwani kujadili na kupitisha rasimu hiyo ya bajeti  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Mh. Jafael Lufungija amesema asilimia 60 ya fedha kwenye bajeti hiyo zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, ambapo upande wa sekta ya afya zimetengwa million 80.

Pamoja na bajeti hii kugusa kila sekta, baadhi ya Madiwani wameeleza vipaumbele vinavyopaswa kuangaliwa kwa jicho la kipekee kwenye maeneo yao ambapo Diwani wa kata ya Zugimlole Mh. Barikeka Ramadhani amegusia kipaumbele cha ujenzi wa kituo cha afya katika kata hiyo, huku Diwani wa kata ya Kaliua Mh. Nestory Hoka akizungumzia changamoto ya Upungufu wa Madawati.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mh. Dkt. Gerald Mongella ameendelea kusisitiza usimamizi wa Miradi ya Maendeleo huku akisikitishwa na baadhi ya miradi kuchelewa kukamilika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • MKURUGENZI KABELWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO

    August 29, 2025
  • MWENGE WA UHURU UMEZINDUA, UMEWEKA MAWE YA MSINGI KALIUA

    August 29, 2025
  • KAMILISHENI KWA WAKATI MIRADI

    August 29, 2025
  • MKURUGENZI KABELWA AWAFUNDA WALIMU

    August 24, 2025
  • Ona zote

Video

Hamasa mwenge wa Uhuru 2025
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua