• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

Mifugo na Uvuvi


Muundo wa Idara:

Idara ya Mifugo na Uvuvi inaundwa na Sehemu kuu mbili ambazo ni:

  • Mifugo na
  • Uvuvi

Majukumu ya Idara:

Jukumu kuu la Idara ni pamoja na usimamizi wa shughuli zote zinazohusu sekta ya Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa kushirikiana na Idara zingine, Serikali Kuu na Wadau mbalimbali katika sekta. Shughuli hizo ni pamoja na:-

  • Kusimamia na kuratibu utoaji wa huduma za ushauri wa kitaalam na elimu bora ya ufugaji wa mifugo na samaki
  • Kusimamia shughuli za udhibiti wa magonjwa ya mifugo ikiwa ni pamoja na utambuzi wa magonjwa, ufuatiliaji, tiba na chanjo.
  • Kusimamia ubora na usalama wa mazao yatokanayo na mifugo na uvuvi
  • Kuratibu na kusimamia sheria mbali mbali za sekta ya mifugo na uvuvi
  • Kuratibu na kusimamia shughuli zote zinazohusiana na maandalizi na ushiriki wa mikutano ya wafugaji na sherehe mbalimbali za mifugo na uvuvi kama za wakulima Nanenane, zinazofanyika kila mwaka kikanda kwenye viwanja vya Nane Nane Ipuli mjini Tabora.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli zinazofanyika katika rasilimali zilizo chini ya Idara ya Mifugo na Uvuvi ikiwemo machinjio, mawe ya kuchinjia, majosho, magulio na minada ya kuuzia mifugo, mabanda na miundombinu ya maonesho (iliyoko uwanja wa Nanenane Ipuli, Tabora) na mialo ya uvuvi katika Ziwa Sagara, Mto Ugalla na Mto Igombe.
  • Kuratibu na Kusimamia ukusanyaji wa mapato yatokanayo na ushuru, tozo na ada zinazohusiana na sekta ya mifugo na uvuvi
  • Kufanya doria katika mito Igombe na Ugalla na Ziwa Sagara kwa lengo la kupambana na uvuvi haramu

Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya sekta ya Mifugo na Uvuvi ngazi ya wilaya na kata

Kufanya utambuzi na usajili wa mifugo na kuhuisha takwimu za mifugo

  • Kusimamia utoaji wa leseni za usajili wa vyombo vya uvuvi, leseni za uvuvi na kutoa vibali vya usafirishaji wa mazao ya uvuvi ndani na nje ya wilaya ya Kaliua na vibali vya kusafirisha mifugo nje ya wilaya.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiutawala na utumishi wa wataalam wa mifugo na uvuvi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KALIUA DC MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II November 17, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA May 25, 2022
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • MKURUGENZI KABELWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO

    August 29, 2025
  • MWENGE WA UHURU UMEZINDUA, UMEWEKA MAWE YA MSINGI KALIUA

    August 29, 2025
  • KAMILISHENI KWA WAKATI MIRADI

    August 29, 2025
  • MKURUGENZI KABELWA AWAFUNDA WALIMU

    August 24, 2025
  • Ona zote

Video

Hamasa mwenge wa Uhuru 2025
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua