4_5798437112114056568.pdfMkurungenzi Mtendaji Wa Halmashauri Ya Kaliua anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa zilizoainishwa hapa chini na ambao wapo tayari kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya Kaliua kuleta maombi yao ya kazi .Nafasi hizo ni kwa watanzania wote.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua