Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Ndugu. Shabani Kabelwa amewataka Wasimamizi wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri wawe na Uzalendo ili kukamilisha Miradi kwa Wakati kama inavyotakiwa.
Mkurugenzi Kabelwa ameyasema hayo leo tarehe 15/09/2025 katika Ukumbi Mkubwa wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua alipokua Akizungumza na wasimamizi wa Miradi ya elimu Msingi na Sekondari.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua