Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua leo tarehe 29/08/2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Idara pamoja na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
Akizungumza katika Ukumbi mkubwa wa mikutano wa Halmashauri, Mkurugenzi amesisitiza Uwajibikaji kwa kila Mkuu wa Idara na utendaji wa kazi kwa Maendeleo ya Halmashauri na Taifa kwa Ujumla.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua