Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Ndugu. Shabani Kabelwa tarehe 28/08/2025 ametembelea Miradi ya Maendeleo ya Elimu Msingi na Sekondari.
Akizungumza na Wataalamu alioambatana nao kwenye ziara yake ndugu. Kabelwa ameelekeza kuongezwa kwa kasi na kukamilisha Miradi kwa wakati kama inavyotakiwa.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua