Kwa heshima na tadhima ninayo furaha kubwa kuwajulisha kwamba shule zetu mpya tano za Sekondari zimepata usajiri. Ni furaha kubwa kwetu wananchi na wakazi wa Kaliua.
Nawashukuru wananchi, viongozi na wadau wote tulioshirikiana kufanikisha kazi hii kubwa. Sasa ni rasmi tuna shule ya Sekondari ya:
1. Igwisi Reg.Na.S.5162
2. Zugimlole Reg.Na. S.5163
3. Silambo Reg.Na. S.5164
4. Seleli Reg.Na. S5165
5. Ilege Reg.Na. S.5166.
Hongereni sana wana Kaliua kwa kutekeleza ilani ya CCM 2015-2020
Hivyo, kuanzia Jumatatu 18/02/2019 shule hizi zitaanza kazi. Quality is our Pride.
Imetolewa na Dr John Pima
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Kaliua.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua