Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dkt. John Pima akishiriki kutoa mafunzo ya OPRAS kwa baadhi ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi mdogo wa Halmashauri kuanzia tarehe 12 June hadi 13 June 2019.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua