Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua akizungumza na Walimu katika kata ya Kazaroho kuhusu dhana ya Elimu ya kujiegemea na jinsi ya kuishirikisha katika jamii. Pia alieleza umuhimu wa elimu ya kujitegemea katika jamii.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua