Mwombaji anapaswa kujaza fomu ya maombi 9TFN 2110 kikamilifu na kuambatanisha kivuli cha:-
Kwa leseni zinazodhibitiwa na Mamlaka mbalimbali , Kwa mfano (TFDA, EWURA, TAURA, CRB, TILLI) n.k lazima mwomaji kuwa na leseni husika kablaya kuomba leseni ya biashara fomu ya maombi ya biashara (TFN 211) hutolewa kwa ada ya Tshs. 1,000/=.
NB:Leseni hii huisha muda wake mwaka mmoja (1) tangu tarehe ilipoanza kutumika.
Baada ya kujaza fomu na viambatanisho, maombi hupitishwa ngazi zinazotakiwa kisheria – Mpango Miji na Afya. Baada ya hapo leseni hutolewa ndani ya siku moja au mbili na si zaidi.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua