MIRADI ILIYOKAMILIKA NA KUFANYA KAZI KWA MWAKA 2016 NA 2017 KATIKA
HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA.
|
NA |
JINA LA MRADI |
FEDHA TUMIKA |
CHANZO CHA FEDHA |
MAELEZO |
| 1.
|
Ujenzi wa mradi wa maji Kijiji cha Uhindi Kata ya Uyowa
|
434,252,015.00 |
RWSSP |
Mradi umekamilika na wananchi wa kijiji cha Uhindi wananufaika kwa kupata huduma ya maji safi na salama.
|
| 2.
|
Ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Tuombemungu.
|
418,623,160.00 |
RWSSP |
Mradi umekamilika na wananchi wa kijiji cha Tuombemungu wananufaika kwa kupata huduma ya maji safi na salama
|
| 3
|
Ujenzi wa nyumba ya kuishi walimu (6 in 1) na vyumba vya madarasa 4 na vyoo matundu 18 katika shule ya sekondari Ukumbisiganga.
|
304,747,045.00 |
SEDP |
Ujenzi umekamilika kwa sasa idadi kubwa ya walimu wanaishi kwenye nyumba bora katika eneo la shule.
|
| 4
|
Ujenzi wa madarasa vyumba 2 na choo matundu 2 shule ya sekondari Ushokola
|
56,488,586.00 |
SEDP |
Ujenzi umekamilika na umesaidia sana kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa na vyoo katika shule ya sekondari Ushokola.
|
| 5
|
Ujenzi wa nyumba ya kuishi walimu (6 in 1) na vyumba vya madarasa 4 na vyoo matundu 10 katika shule ya sekondari Usinge.
|
249,421,219.00 |
SEDP |
Ujenzi umekamilika kwa sasa idadi kubwa ya walimu wanaishi kwenye nyumba bora katika eneo la shule.
|
| 6
|
Mradi wa programu ya Lipa kwa Matokeo (P4R) Awamu ya I
|
189,600,000 |
MMES-P4R |
Mradi umekamilika na umesaidia kupunguza kero ya uhaba wa vyumba vya madarasa katika s/m Usinge.
|
| Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa,vyoo matundu 16 na ukarabati wa vyumba 10 vya madarasa s/m Usinge.
|
||||
| 7
|
Ujenzi wa vyumba 7 vya mdarasa,vyoo matundu 10 na ukarabati wa vyumba 8 vya madarasa s/m Zugimulole
|
163,000,000 |
MMES-P4R |
Mradi umekamilika na umesaidia kupunguza kero ya uhaba wa vyumba vya madarasa katika s/m Zugimlole.
|
| 8
|
Ujenzi wa nyumba ya Mganga Kituo cha Afya Kaliua
|
44,570,725.00
|
Mapato ya ndani(Ownsource)
|
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi kituo cha Afya kaliua umekamilika
|
| 9
|
Ununuzi wa darubini kwa ajili ya upimaji wa maeneo muhimu (Viwanda vidogo,uwekezaji na wafanyabiashara ndogondogo)
|
21,570,400
|
LGDG-CDG
|
Ununuzi wa darubini umefanyika
|
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua