Idara ya Utumishi na utawala inamajukumu ya kusimamia masuala ya kiutawala na raslimali watu, kazi za idar ni kuratibu vikao vyote katika ngazi ya Halmashauri, Kata Na Vijiji.Kushughulilia maslahi yote ya watumishi, Kusimamia nidhamu ya watumishi mahala pa kazi, kuhakikisha idadi ya watumishi waliopo inaendana na mahitaji ya ofisi na shughuli zingine za kiutawala
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua