• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

Ardhi na Maliasili

Idara ya Ardhi na Maliasili imeundwa na sekta mbili za Ardhi na Maliasil zenye vitengo vya Uthamini, Mipangomiji, Upimaji , Ardhi miliki, Wanyamapori na Misitu. Idara ina jukumu la kusimamia na kutoa ushauri katika maswala yote yanayohusu umilikishaji wa ardhi,uthamini, upangaji na uendelezaji wa mji, upimaji, kusimamia uvunaji wa mazao ya misitu na kusimamia uwindishaji wa kitalii.

  • Kazi za Idara
  • Kufanya doria katika misitu ya Hifadhi ya serikali kuu na  Halmashari. 
  • Kukusanya maduhuli yatokanayo na mazao ya misitu.
  • Kufanya tathimini ya rasilimali ya misitu ya Hifadhi ya Vijiji vya Luganjo na Shella.
  • Kuandaa mpango kazi wa usimamizi katika misitu ya Hifadhi ya vijiji vya Luganjo na Shella.
  • Kuendelea na ujenzi wa banda kwa ajili ya ufungaji wa mashine ya kukamulia mafuta ya Alzeti katika kijiji cha Kombe kwa ufadhili  wa mradi wa Miombo (SFM).
  • Kutoa vyeti 20 za vijiji vilivyopimwa.
  • Kuandaa mipango ya matumizi bora ya Ardhi katika vijiji 19.
  • Kuadaa Hati miliki 200 za  kimila.
  • Kuandaa Hati za umiliki 100
  • Kukusanya maduhuli ya serikali yatokanayo na kodi za ardhi.                                                           

Mafanikio 

  • Kufanya doria kwenye misitu ya Hifadhi ya vijiji vya  Maboha, Luganjo na Shella vilivyoko kata Usinge kwa ufadhili wa mradi wa Miombo (SFM),Msitu wa Ulyankulu (Mpongolo) na ISAWIMA. Jumla ya magogo 1,120 yalikamatwa             
  • Kukusanya maduhuli ya Serikali yatokanayo na mazao ya misitu, kiasi cha Tsh. 262,768,075  zimekusanywa katika robo hii
  • Kufanya tathimini ya misitu ya vijiji vya Luganjo na shella. Tathimini imefanyika na kukamilika.
  • Kuendelea na ujenzi wa banda kwa ajili ya ufungaji wa mashine ya kukamulia mafuta ya Alzeti katika kijiji cha Kombe kwa ufadhili
    • Idara ya Ardhi na Maliasili imeundwa na sekta mbili za Ardhi na Maliasil zenye vitengo vya Uthamini, Mipangomiji, Upimaji , Ardhi miliki, Wanyamapori na Misitu. Idara ina jukumu la kusimamia na kutoa ushauri katika maswala yote yanayohusu umilikishaji wa ardhi,uthamini, upangaji na uendelezaji wa mji, upimaji, kusimamia uvunaji wa mazao ya misitu na kusimamia uwindishaji wa kitalii.

Kazi za Idara

  • Kufanya doria katika misitu ya Hifadhi ya serikali kuu na  Halmashari. 
  • Kukusanya maduhuli yatokanayo na mazao ya misitu.
  • Kufanya tathimini ya rasilimali ya misitu ya Hifadhi ya Vijiji vya Luganjo na Shella.
  • Kuandaa mpango kazi wa usimamizi katika misitu ya Hifadhi ya vijiji vya Luganjo na Shella.
  • Kuendelea na ujenzi wa banda kwa ajili ya ufungaji wa mashine ya kukamulia mafuta ya Alzeti katika kijiji cha Kombe kwa ufadhili  wa mradi wa Miombo (SFM).
  • Kutoa vyeti 20 za vijiji vilivyopimwa.
  • Kuandaa mipango ya matumizi bora ya Ardhi katika vijiji 19.
  • Kuadaa Hati miliki 200 za  kimila.
  • Kuandaa Hati za umiliki 100
  • Kukusanya maduhuli ya serikali yatokanayo na kodi za ardhi.

Mafanikio 

  • Kufanya doria kwenye misitu ya Hifadhi ya vijiji vya  Maboha, Luganjo na Shella vilivyoko kata Usinge kwa ufadhili wa mradi wa Miombo (SFM),Msitu wa Ulyankulu (Mpongolo) na ISAWIMA. Jumla ya magogo 1,120 yalikamatwa             
  • Kukusanya maduhuli ya Serikali yatokanayo na mazao ya misitu, kiasi cha Tsh. 262,768,075  zimekusanywa katika robo hii
  • Kufanya tathimini ya misitu ya vijiji vya Luganjo na shella. Tathimini imefanyika na kukamilika.
  • Kuendelea na ujenzi wa banda kwa ajili ya ufungaji wa mashine ya kukamulia mafuta ya Alzeti katika kijiji cha Kombe kwa ufadhili  wa mradi wa Miombo (SFM). Ujenzi unaendelea na kwa sasa upo kwenye hatua ya kumwaga lenta
  • Kukusanya maduhuli ya Serikali yatokanayo na kodi za ardhi. Jumla ya Tsh 812,871.65 zimekusanywa
  • Malengo
  • Kusimamia uwidishaji wa kitalii katika kitalu cha Luganzo.
  • Kukusanya mapato yatokanayo na kodi za ardhi 3,000,000.00.
  • Kuandaa Hakimiliki 10.
  • Kupima viwanja 400.
  • Kufanya uthamini wa majengo 1500.
  • Kuhamasisha jamii kuchangia gharama za upimaji.
  • Kuandaa Hakimiliki za kimila 15.
  • Kukusanya ushuru wa tozo za mazao ya misitu 30,000,000.00.

TAARIFA YA WATUMISHI (IKAMA) IDARA YA ARDHI NA MALIASILI.

NA.
SEKTA
MAHITAJI
WALIOPO
PUNGUFU
01.
ARDHI
13
3
10
02.
MALIASILI
10
4
6

JUMLA
23
7
16

Matangazo

  • MBIO ZA MWENGE TAREHE 24/04/2018 WILAYANI KALIUA April 08, 2018
  • NAFASI ZA KAZI WATENDAJI WA VIJIJI March 31, 2018
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • MNADA WA MALI CHAKAVU WAFANYIKA

    April 10, 2018
  • ZOEZI LA UPANDAJI MITI 5,000 LAANZA WILAYANI KALIUA

    December 12, 2017
  • MKUU WA MKOA AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE NA KUKABIDHI HUNDI YA MILIONI 202 PAMOJA NA PIKIPIKI NANE MAAFISA MBALIMBALI

    October 21, 2017
  • MAFUNZO YA 'PlanRep WEB' KWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO

    October 14, 2017
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti za Serikali
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Bomani, Ufukutwa

    Sanduku La Posta: 83 Kaliua

    Simu ya Mezani: +255(0)736204192

    Simu ya Kiganjani: +255(0)736204192

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Other Contacts

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua