Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh.Paul Matiko Chacha leo tarehe 23/12/2024, anatarajia kuzindu na kukabidhi hundi ya jumla ya kiasi cha Tsh.302,000,000/= kwa ajili ya utoaji wa mikopo kwa makundi ya Vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua.
Zoezi hilo linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua amabapo jumla ya Vikundi 10 Vijana vikundi 3 na Wanawake Vikundi 7 vinatarajia kupokea mkopo huo.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua