Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Ndugu. Shabani Kabelwa, Anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Devotha Albert Gachu aliekua Afisa Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kilichotokea Tarehe 20/08/2025 katika Hospital ya Mkoa wa Tabora Kitete alikokuwa akipatiwa Matibabu.
Mkurugenzi anatoa pole kwa Familia, Ndugu jamaa na Watumishi wenzake Marehemu na kwamba Halmashauri iko pamoja na Familia katika kipindi hiki kigumu.
Bwana litoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua