Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Ndugu. Shabani Kabelwa leo tarehe 17/08/2025 amewatembelea Wanamichezo wa timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua iliyopo Jijini Tanga kwenye Mashindano ya Watumishi walioko chini ya Serikali za Mitaa (SHEMISEMITA)
Akizungumza na Wanamichezo hao Ndugu. Kabelwa amewataka Watumishi hao kupambana katika michezo yote ili waweze kuiletea Halmashauri ushindi.
"Mnakila sababau ya kuchukua Ushindi huu Maana sisi tunakila sababu ya kuchukua Ushindi huu, nia tunayo na uwezo tunao nimekuja kuwatia Moyo" Amesema
Sambamba na hilo amekumbusha Swala la nidhamu kwa Watumishi na Kuendelea kuzingatia kilichowaleta Tanga.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua