Waziri wa Nchi TAMISEMI Mheshimiwa Selemani Jafo ameiponngeza Halamshauri ya Wilaya ya Kaliua kwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa vitendo. katika ziara yake wilayani Kaliua, Mheshiwa Jafo ametoa hundi za mikopo kwa wajasiriamali mbalimbali wilayani kaliua yenye thamni ya Shilingi milioni 215. Pia Mheshimiwa Jafo amegawa pikipiki 10 kwa vijana. Kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Halmashauri imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 580. Aidha, Mheshimiwa Jafo ameridhishwa na mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wialaya ya Kaliua na kuzitaka halmashauri zingine kuiga mfano wa Kaliua.
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua