Mkurugenzi Mtendaji Anawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Kaliua kuwa kuna mbegu za kisasa za zao la Korosho kutoka kituo cha utafiti wa zao la korosho Naliendele Mtwara.
Mbegu zinapatika Ofisi za Halmashauri (BOMANI) - Idara ya Kilimo kwa bei ya Tsh. 6,500.
Ushauri wa Kitaalam na Vipeperushi vya namna bora ya uandaaji wa mbegu unatole bila malipo yoyote.
WOTE MNAKARIBISHWA
Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni
Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua
Simu: +255262965676/9
Dawati la Uwekezaji:
Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua