• Malalamiko |
    • MAWASILIANO |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Kaliua District Council
Kaliua District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu, na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Usafi wa Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Legal Unity
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Utaratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Fursa za Uwekezaji

MIRADI ILIYOKAMILIKA

Start Date: 2016-07-01
End Date: 2017-07-30

MIRADI ILIYOKAMILIKA NA KUFANYA KAZI KWA MWAKA 2016 NA 2017 KATIKA 

HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA.

NA

JINA LA MRADI

FEDHA TUMIKA

CHANZO CHA FEDHA

MAELEZO

1.
Ujenzi wa mradi wa maji Kijiji cha Uhindi Kata ya Uyowa

434,252,015.00

RWSSP

Mradi umekamilika na wananchi wa kijiji cha Uhindi wananufaika kwa kupata huduma ya maji safi na salama.
2.
Ujenzi wa mradi wa maji  kijiji cha Tuombemungu.

418,623,160.00

RWSSP

Mradi umekamilika na wananchi wa kijiji cha Tuombemungu  wananufaika kwa kupata huduma ya maji safi na salama
3
Ujenzi wa nyumba ya kuishi walimu (6 in 1) na vyumba vya madarasa 4 na vyoo matundu 18 katika shule ya sekondari Ukumbisiganga.

304,747,045.00

SEDP

Ujenzi umekamilika kwa sasa idadi kubwa ya walimu wanaishi kwenye nyumba bora katika eneo la shule.
4
Ujenzi wa madarasa vyumba 2 na choo matundu 2 shule ya sekondari Ushokola

56,488,586.00

SEDP

Ujenzi umekamilika na umesaidia sana  kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa  na vyoo katika shule ya sekondari Ushokola.
5
Ujenzi wa nyumba ya kuishi walimu (6 in 1) na vyumba vya madarasa 4 na vyoo matundu 10 katika shule ya sekondari Usinge.

249,421,219.00

SEDP

Ujenzi umekamilika kwa sasa idadi kubwa ya walimu wanaishi kwenye nyumba bora katika eneo la shule.
6
Mradi wa programu ya Lipa kwa Matokeo (P4R) Awamu ya I

189,600,000

MMES-P4R

Mradi umekamilika na umesaidia kupunguza kero ya uhaba wa vyumba vya madarasa katika s/m Usinge.
Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa,vyoo matundu 16 na ukarabati wa vyumba 10 vya madarasa s/m Usinge.
7
Ujenzi wa vyumba 7 vya mdarasa,vyoo matundu 10 na ukarabati wa vyumba 8 vya madarasa s/m Zugimulole

163,000,000

MMES-P4R

Mradi umekamilika na umesaidia kupunguza kero ya uhaba wa vyumba vya madarasa katika s/m Zugimlole.
8
Ujenzi wa nyumba ya Mganga Kituo cha Afya Kaliua
 44,570,725.00
Mapato ya ndani(Ownsource)
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi kituo cha Afya kaliua umekamilika
9
Ununuzi wa darubini kwa ajili ya upimaji wa maeneo muhimu (Viwanda vidogo,uwekezaji na wafanyabiashara ndogondogo)
  21,570,400
LGDG-CDG
Ununuzi wa darubini umefanyika

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III September 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA February 12, 2021
  • HOTUBA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA KUFUNGA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 August 01, 2019
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 13, 2020
  • Ona zote

Habari za Hivipunde

  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA TABORA WILAYANI KALIUA

    October 01, 2020
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA TABORA WILAYANI KALIUA

    October 01, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KALIUA DC

    September 03, 2020
  • WAZIRI JAFO AIMWAGIA SIFA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA

    June 06, 2020
  • Ona zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Kaliua 2018
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mwanzo
  • TAMISEMI
  • Huduma
  • Historia
  • Fursa za Uwekezaji
  • UTUMISHI

Kurasa zinazofanana

  • Salary Slips Portal
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya RC Tabora
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti za Serikali
  • Baraza la Mitihani - NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

MAWASILIANO

    Ofisi zipo Eneo la Ufukutwa, Barabara ya Ulindwanoni

    Sanduku La Posta: S. L. P 83 Kaliua

    Simu: +255262965676/9

    Dawati la Uwekezaji:

    Barua Pepe: ded@kaliuadc.go.tz

Dawati la Malamiko

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Service

Hatimiliki ©2016 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua